Shikamoo tochi za barabarani

Kama unataka ufike haraka chukua ndege hasa hizi za magufuli maana bei ni rafiki kwa kila mtanzania KUWEZA kupanda
 
Spidi ziongezwe kidogo 50 km/h ni ndogo sana
Hii topic ni ya maana sana . .

Taifa ambalo barabara zake ni za speed limit ya 50 km per hr , hata speed ya maendeleo yake ni hiyo hiyo . .

Sasa hebu tafakari, tutafikia maendeleo ya Wajerumani, Waingereza ambao barabara zao na magari yao yanaruhusiwa kwenda zaidi ya km 200 kwa saa . . ?!

Ni kwa nini sasa tusitengeneze magari yetu wenyewe ya kutembea mwendo wa ki Tanzania wa speed 50 mpaka 80 kwa saa , badala yake tunanunua gari za ki Japan za mwendo wa 180 kms kwa saa ? !

Lakini ajabu ni speed wanazotembea viongozi wetu wakuu . . , wao eti ni ruhksa kutusimamisha sisi waajiri wao tusubiri wapite kwa speed ya jet . . , wao hawaoni kero zetu sisi mabosi wao . . ? !
 
Back
Top Bottom