Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Nakuamkia kwa heshima na Taadhima Mzee wangu JK! Ulinena vema kwamba vyama vya Upinzani ni vya Msimu na "photocopy". Kuntu JK! Moto wa Mabua haukeshi! Wako wapi sasa? Walideki barabara, waliigiza kuzimia na kutengeneza picha za kuudanganya Umma kwamba wanakubalika! Wako wapi sasa!
Vyama ambavyo havina utaratibu wa kuandaa Viongozi na kutegemea makapi toka CCM! Aibu tupu. Vyama vinavyoendeshwa kwa matukio na visivyosimamia Sera na Kauli zake! Kwishney! UKAWA CHALIIIII, NDEMBENDEMBE, KIFO CHA MENDE, KWISHA KABISAAAA!!
CCM ni Taasisi na haiogopi mtu! Ikisema inakata, Inakata! Haijali mapembe wala pesa ya mtu! Ndio maana wananchi wanaiamini. Hawa wengine hawaaminiki kabisa! Mara Fulani hasafishiki kabisa! Mara tulikosea, yeye ni Malaika kwa kuwa hajapelekwa Mahakamani! Basi hawaeleweki kabisaaaaaa! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, KIDUMU CHAMA TAWALA!!!