Shikamoo Lowassa

Marhaba mjukuu/kijana wangu, je utanipa kura yako? Sio unaishia kusalimia tu. Si unajua utendaji wangu. Miaka miwili ya u PM wangu mambo yalienda kwa kasi ya Singapore, si unakumbuka.
 
Marhaba mjukuu/kijana wangu, je utanipa kura yako? Sio unaishia kusalimia tu. Si unajua utendaji wangu. Miaka miwili ya u PM wangu mambo yalienda kwa kasi ya Singapore, si unakumbuka.

bila shida utaipata. na si yangu tu bali pamoja na familia yangu na rafiki zangu 100
 
yaani sipati picha kama marehem kaptein KOMBA angekuwa yu hai maana alikuwa anamkubali sana lowasa harafu angemfuata nae ukawa harafu ndio angekuwa mpiga kampeni wake.

harafu ukawa nao wangekuwa wanarusha mikutano yao live kama ccm na huku wamesambaza mabango nchi nzima mbona pangechimbika
 
lowasa chaguo la mungu kweli nimeamini ccm walimbania tuu walijua atawafumua vipande vipande
 


Lowassa Mwanza leo!

Shikamoo Lowassa

Uwiii hebu wanachadema wenzangu tujiongeze kidogo sawa tunampenda ila kuchanganya picha noma aisee tusiwe kama mi ccm
huo ulikua mkutano wake akiwa dsm sio mwanza huko mwisho ni stand ya jangwani

Lowassa mpaka ikulu
 

Na nyimbo zao tungezipiga remix zooote
 
Huyu mzee amekomaa kisiasa, ametukanwa sanaaaa lkn yeye anamwomba mungu na kuwaomba wananchi wampe ridhaa ya kuiongoza nchi. Mungu wa wananchi wote atatenda. Amen
 
Mnasema hapo Ni mwanza!? He he he..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lumumba bana, mnapost picha wenyewe na kujiumbua wewnyewe
 
Ccm mnaweka picha za jangwani then ionekane ni ChademA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…