Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Angalia tu usijirushe toka juu ya ghorofa kama yule kaka,vipi lakin unamfikia hata kidogo?

Dinazarde;
Sijivuni ila ka huyo kakunanihii sijui miye ungezimia kabisa hadi hospitali. Uzuri si sura, moyo una mengi zaidi
 
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo,au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,



Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu

View attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709

We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie

halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita

View attachment 393710
Haahahahahahaa naona umeamua kufunguka huyu kweli ni mzuri na ana mvuto!huyu ana vyote cc me and I @
 
Back
Top Bottom