MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 295
- 679
Ni kweli CHADEMA kunafukuta
Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !!
Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine
Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo
Kuna mgogoro kati ya Lema na wanachama wa Chadema ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu pamoja viongozi wa dini hiyo nchini kufuatia kuwatusi pamoja kudai kuwa amekuwa akila kitimoto.
Kuna mgogoro baina ya Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed, kufutia makamu huyo mwenyekiti kushiriki katika Mkutano wa Baraza la vyama vya siasa.
Kuna mgogoro baina ya Jon Mrema na Lema, kutokana na Lema kitumia akaunti yake ya kificho ya Tanzania Leaks kuichafua CHADEMA.
Kuna mgogoro kati ya Halimshauri ya kuu ya CHADEMA na Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA, kufuatia Halmashauri Kuu hiyo kuwafuta uanachama Wabunge hao kihuni pasipo kufuata katiba ya chama hicho.
Kuna mgogoro baina ya viongozi wa CHADEMA wenye asili ya kutokea katika Mikoa ya Kaskazini na viongozi wengine wanye asili ya Mikoa mingine nchini hii ni kutoka kutokana na viongozi wenye asili ya Kaskazini kupewa kipaumbale katika nafasi za uongozi kuliko wanachama wanaotokea katika Mikoa mingine.
Kuna mgogoro baina ya Mbowe na viongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na Mbowe kuwa Sultan ndani ya chama "Mwenyekiti wa kudumu wa chama" na kutoonesha hata chembe ya kutaka kung'utuka katika nafasi hiyo ili kuwapa fursa viongozi wengine kuweza kushika nafasi hiyo.
Viongozi wa CHADEMA wanaponyoosha kidole Kwa viongozi wa Serikali watazame vidole vyao vingali vimewageukia wao.
Kabla ya kutoa kibanzi Katika jicho la mwenzio basi jitoe kwanza wewe boriti iliyo Katika jicho lako
Ni Mimi ni mpeku mpekuzi
Sauti ya busara
Msema Ukweli
Ni mimi Yule yule mzee wa kudele.