Shikamoo bibi harusi

hahahahah chapombe huyo.
 
Huyo lazima washindane muda wa kurudi usiku nyumbani na mumewe.Chapombe na muda sii mrefu atahamia kwenye konyagi kisha gongo
 
Bujibuji kumbe upo? nimepita mtaa wa pili hapo nimekuta watu wanakuulizia...
 
Last edited by a moderator:
Huyo anaondoa msongo wa mawazo juu ya kipigo atakachokipata usiku wa mwezi wa asali...
 
Kula kitu roho inapenda bana! Safi sana bi harusi piga, piga, pigaaa!
 
Khaaa ni kitebdawili sana kla mtu ukumuuliza klichomvutia kws mkewe. Wengine watasema nilivutiwa na ukeshaji wake ktk night club akupata rubisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…