Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Sawa. Nimekuelewa vizuri sana hapo kwenye hitimisho. lakini mengine ni kuomba msamaha kwa wakubwa wa chama, Umejitahidi kuweka sawa wakubwa wa nchi. Ebu fuatilia mapema mapema manake mambo yanweza badilika ukaanza upya!. Na bila kukwepisha maneno BILA YA KUROPOKA USINGEFIKA HAPO. Sasa kwa wale wanyonge wasiokuwa na uwezo wa kuwa na media kama wewe si wanadhulumiwa kabisa.

Hongera! Mungu alimuuliza nabii Musa una nini mkononi? Akajibu ni Fimbo. Umetumia vizuri kile ulichonacho mkononi.
 
Haya maneno yanadhihirisha kuwa kuna fedha za serikali ambazo huwa zinatumika kugharamia chama kinachokuwa madarakani kuunda serikali hiyo. Ni hatari sana, ingawa kwa upeo wake hakujua kama anawafunulia watu wenye uwezo wa kuchambua maneno
 
vipi mzee na leo walikupa maji ya kunywa??
 
hivi ni nani aliyesema hakuna mfanyabiashara aliemsaidia wakati wa kampeni
 
HAHA. ET ALIKUWA NA HOFU KAMA WANGESHINDWA WASINGEWEZA MLIPA. SASA WAMESHINDA IZOPESA ZA KUMLIPA INAMAANISHA NI KODI ZETU NDIZO WANATUMIA KUWALIPA MAANA KATUHAMINISHI BILA KUSHINDA HAWAWEZI KULIPA.
 
Kwa maneno mengine ni kuwa kapigwa saundi! 😀😀😀😀
 
nimeishia kusoma pale alipokuwa anaelezea thamani ya dola! aliyemaliza kusoma hadi mwisho ani brief
 
Hii riwaya itakuwa sokoni punde, wasambazaji jiandaeni, tunakaribisha wauzaji wa jumla na rejareja
 
Vijana wa Lumumba on air...zle buk tatu tatu hukuchukua?! Kumbe safar za nje bdo zpo... Af Moyo huo kwnd mbio veeepe wkt ww msema kwl pacpo uoga. Ptuuuh! Tz nchi yao wnye vipaji vya uigizaj ht kwny ukwl. Vumilia tu dawa ikuingie hamna namna.bank nao kawape porojo wakukaribishe mjini.
 
Shigongo ni Msanii tu hana lolote,aendelee kunywa maji tu fedha halipwi!! Magufuli hawezi saini malipo hewa.
 
We jamaa bhana!Kwamba wewe uliumia uliposingiziwa kuuza T-shirt kwa Tsh 95000/_.VP wale ambao wanazushiwa uzinzi na uchafu kibao na magazeti yako?Wewe una moyo wengine wana mawe vifuani?Kama unataka kuhukumiwa kwa haki basi uwahukumu wengine kwa haki.
 
Dah,kumbe nawe ni kada wa chama,ivi waandishi wa habari wameruhusiwa kutangaza vyama vyao hadharani? ..............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…