Kichwa cha habari mi nilifikiri tayari keshalipwa.
Kijana pamoja na ngonjera zako hakuna hata single pen hutakayolipwa na hivi umeamua kumwaga mboga ndio kabisaaa.
Benki hazijui cha Lumumba wala msomali dhamana itabidi majembe azipige mnada,hukumbuki yaliyompata Capt J Komba we kalaga bao.