GE2025 Shigongo atinga Kata za Kome kwa Baiskeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,115
Reaction score
3,485
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa Halmashauri Kuu za Matawi pamoja na Kamati za Siasa za Matawi na Kata

Ziara hiyo imefanyika baada ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM kuhitimishwa, ambapo Eric Shigongo aliteuliwa kuwania tena kiti hicho kwa muhula wa pili






Chanzo: Globaltvonline
 
Phoenix za Kichina sio kabisa

Chuma hiki hapa Original kabisa
 
 
Tunaoishi huku boko mnemela hapo huyo shigongo ndio yupi
 
Bila shaka atatufikia nasi wa visiwani baada ya kutususa kwa miaka mitano. NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…