Jamaa amejibu vizuri hapo juu hizo ni kazi zao kuhusu salary wana scale zao kama umeitwa kwenye interview waambie according to their scale wako vizuri kwa sasa engineer ndo wanapewa priority sana kuajiriwa kwenye hiyo post hata kama kwenye baadhi ya matangazo wanasema any proffession but engineers a most considered for now