Shida ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shida ya nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Janice, Dec 27, 2011.

 1. Janice

  Janice Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitapata wapi nyumba yenye room 2 na sebule kwa bei rahisi ya angalau TZS150,000 p.m!!!nina shida kweli ila sehemu nyingi bei iko juu,ningependa maeneo ya tabata,ubungo external,kijitonyama.
  Naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye information
   
 2. j

  janejean Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana mdau.!
   
 3. 1

  19don JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ipo majohe room 2 sebule, jiko , choo na bafu maji na umeme wa luku kwa kila nyumba bei 200,000 kama unataka ni pm
   
Loading...