mkuu kwa nijuavyo mimi kama mnara wa jirani yako ni edge basi huwezi ubadili wewe speed yake kwa kifaa chako ulichonacho.
Lakini kuna vifaa vya ku boost network ila hivi vinakuwa na limitation ya umbali ina maana venyewe vinakusaidia kupata network kutoka mnara wa mbali kidogo na eneo ulilopo.
kama kuna mahala nimekosea naruhusu kusahihishwa.