Shida ya maji w.rombo inatisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shida ya maji w.rombo inatisha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kelao, Oct 8, 2012.

 1. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,829
  Likes Received: 1,228
  Trophy Points: 280
  wanajamvi kwa wiki mbili sasa nipo huku k'manjaro w.Rombo nimekua nikizunguka maeneo mbalimbali hususan kata za mrao kerio,mashati,un'goro,talaha na nyinginezo.kwa hakika nimeshudi akina baba na kina mama wanatembea umbali mrefu kutafuta maji ambayo yameletwa toka mto ungwasi na mama mkuu wa masista wa kiraen parish(SISTER MKUU) Na kuyagawa matawi mawili moja mrao na moja kiraen.kwa hakika vinginevyo ingekua hadithi nyingine suala la maji hapa Rombo. My take;serikali w.rombo inayafahamu haya?na kama inayafahamu imewatelekeza wananchi wake.? HATARI
   
Loading...