nafiaafrca JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 248 Reaction score 308 Aug 4, 2017 #1 Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe Sent using Jamii Forums mobile app
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe Sent using Jamii Forums mobile app
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,552 Aug 4, 2017 #2 Kitila mkumbo ni memba wa JF aje aelezee, watu wamezungukwa na maji kisha wanalalamika shida ya maji
nafiaafrca JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 248 Reaction score 308 Aug 4, 2017 Thread starter #3 Akajasembamba- said: Kitila mkumbo ni memba wa JF aje aelezee, watu wamezungukwa na maji kisha wanalalamika shida ya maji Click to expand... Kiongozi nikama mwezi sasa maji hamna ila biri zinakuja zikiwa juu sasa unajiuliza kunamajini yanachota hayo maji Sent using Jamii Forums mobile app
Akajasembamba- said: Kitila mkumbo ni memba wa JF aje aelezee, watu wamezungukwa na maji kisha wanalalamika shida ya maji Click to expand... Kiongozi nikama mwezi sasa maji hamna ila biri zinakuja zikiwa juu sasa unajiuliza kunamajini yanachota hayo maji Sent using Jamii Forums mobile app
nafiaafrca JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 248 Reaction score 308 Aug 4, 2017 Thread starter #4 Chakusikitisha idara ya maji wamejipa mladi wa kuwatembezea watu maji kwenye gari lao la maji safi Sent using Jamii Forums mobile app
Chakusikitisha idara ya maji wamejipa mladi wa kuwatembezea watu maji kwenye gari lao la maji safi Sent using Jamii Forums mobile app
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,552 Aug 4, 2017 #5 nafiaafrca said: Chakusikitisha idara ya maji wamejipa mladi wa kuwatembezea watu maji kwenye gari lao la maji safi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ila kweli aisee, nilikuwa igogo mwanza miezi mi2 iliyopita niliyaona haya, nilibaki domo wazi
nafiaafrca said: Chakusikitisha idara ya maji wamejipa mladi wa kuwatembezea watu maji kwenye gari lao la maji safi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ila kweli aisee, nilikuwa igogo mwanza miezi mi2 iliyopita niliyaona haya, nilibaki domo wazi
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Aug 4, 2017 #6 Subirini mpaka Pombe aje huko ndiyo maji yatatoka Sent using Jamii Forums mobile app