Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Nenda kwenye my computer halafu right click 'manage'. After that nenda kwenye 'Disk management'. Itaunganisha na Local disk management system ambapo flash na hard disk zote zitaonekana.
Baada ya hapo chagua flash yako (utaigundua kwa kuangalia size e.g 1.96gb 2.82gb, etc). Angalia usichague hard disk badala ya flash! Ukishachagua, right-click halafu format (unaweza ukadhani hii ni sawa na ile formating ya kawaida lakini sio. Hii ina nguvu zaidi). Kama ikikataa kuformat basi right click upande wa pili halafu create partition/allocation. One of the ways must work.

Hii Fix it inanipa message hii bana.Ok sasa here are the tips for solving problems with USB devices
Tips for solving problems with USB devices
Hardware devices not detected or not working
Hardware devices are not working or are not detected in Windows
Hope this helps.
window xp sp3unatumia mac?
Sonny 4gbThat's the problem. Hata hivyo sidhani kama hilo ni tatizo sana. Ni ya aina gani?
Sonny 4gb
......Lakini na kwa computer zingine imekataa. Nahisi itakuwa mbofu hiiDah kumbe ni sony,kuna kitu ulikosea wakati unaichomeka haukuiaccept inaelekea ulicancel thats why drivers hazikujifunga nadhani ni kwa hizo flash tu hali kama hii ilimtokea jamaa yangu mmoja ikabidi tuiformat mashine yake ndio ikakubali.