Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Umeniwahi,Hakuna mji wa Korogwe uliyopo wilaya ya Tanga.
Jaribu kujifunza historia ya nchi yako itakusaidia sana hata kupata mke au mme.
Bora hata korogwe ina mito, Mwanza pale wana Ziwa kubwa kuliko yote Africa na Huduma ya maji yale haipo inapatikana kuleee kahama ,shy na TaboraWakuu.
Mji wa Korogwe ambao upo Wilaya ya Tanga ni miongoni mwa miji inayokua kwa kasi sana na ni Mji kiungo kibiashara kati ya Lushoto, Tanga, Dsm, Moshi /Arusha, Morogoro....
Gesti wameona muhimu [emoji1]Korogwe gest nyingi kuliko mabomba ya maji
Aweso si ni mbunge wa handeni?Unasema korogwe tu? Ungeanza na Handeni, huko ndio tatizo kwelikweli, Ukianzia na KABUKU, watu wanategemea maji ya kumvua kukinga kwenye paa la majumba, wanayatumia hata miezi kadhaa, siku ukiyaona ya Bomba ni mwezi Mara moja na nimachafu Kama maji ya barabarani, kwakweli nitatizo hasa, muheshimiwa Juma Awesu anakazi ya ziada.