Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,885 Reaction score 17,583 Aug 6, 2024 #1 Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma
Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,042 Aug 6, 2024 #2 Itakuwa verification, uchague penguine ku verify kuwa wewe ni mwanadamu. Au mimi ndio sijaelewa
Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,885 Reaction score 17,583 Aug 6, 2024 Thread starter #3 Gily Gru said: Itakuwa verification, uchague penguine ku verify kuwa wewe ni mwanadamu. Au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Duuh hata sielewi aisee
Gily Gru said: Itakuwa verification, uchague penguine ku verify kuwa wewe ni mwanadamu. Au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Duuh hata sielewi aisee
DON YRN JF-Expert Member Joined Jan 14, 2019 Posts 665 Reaction score 1,571 Aug 6, 2024 #4 Umeambiwa bonyeza au chagua alipo penguin mzee baba, shida ni lugha tu mzee baba...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,226 Aug 6, 2024 #5 ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko. Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua
ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko. Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,195 Reaction score 41,726 Aug 6, 2024 #6 Haha π
Mycojkhan JF-Expert Member Joined Jul 12, 2024 Posts 806 Reaction score 1,504 Aug 6, 2024 #7 Achana nao tumia x.comπ
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,042 Aug 6, 2024 #8 Penguin huyu hapa
C Chumvi yao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,578 Reaction score 5,544 Aug 6, 2024 #9 ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Pick the penguin Acha kulia lia
ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Pick the penguin Acha kulia lia
C Code 255 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2024 Posts 904 Reaction score 3,586 Aug 6, 2024 #10 Kumbe twitter kuna kuaibishana
sam green Senior Member Joined Feb 21, 2020 Posts 187 Reaction score 287 Aug 6, 2024 #11 Depal said: Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko. Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua Click to expand... Ila wewe jamaaaaa ππ
Depal said: Verify. Na probably ulikuwa unaangalia ma porn huko. Click picha zenye penguin.. ni ndege gan huyu sijui kwa kiswahili, ila angalia picha zake click itaendelea kujifungua Click to expand... Ila wewe jamaaaaa ππ
L lautanyi JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,100 Reaction score 927 Aug 6, 2024 #12 ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Wanadhani wewe ni mwanasesere hivyo chagua huyo ndege pengine ili wathibitishe wewd sio roboti
ChristopherPaul15 said: Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma Click to expand... Wanadhani wewe ni mwanasesere hivyo chagua huyo ndege pengine ili wathibitishe wewd sio roboti