chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
We jamaa utakuja utatuliwe rinda siku moja, hao viumbe hawana akili mzee baba.Mambo vip wakubwa,,
Story iko hvi nakumbuka kuna mwaka nlikua field kwenye moja ya migodi ya accacia zaman barrick gold mine (bulyankuru Gold mine) iliyopo kakola kwa kua nlikua sijawahi fika ikabdi nifikie guest fulan ambayo nlikua nalipia kwa cku kwa muda wote mpaka field itakapoisha karbu na hyo guest kulikua na Dada mmoja ni mlokole ameolewa ana mototo mmoja alikua anaishi na mumewe huyo Dada alitokeaga kunipenda sana kuna siku alinikuta dukan nna nunua vocha ndipo alipo anza kunipa salamu na tukapiga story kidogo tukabadirishana Namba kwa kua mumewe alikua anafanya kazi muda ambao mumewe yupo kazin tulikua tunachat kwa kua alionesha shobo ikabidi nimtongoze akakubali ikawa namgonga kinoma noma kila muda mumewe akiwa hayupo namkula tu ,sasa kuna cku mumewe akazifuma meseji tukizokua tunachat nae akambana kwa kipigo na alichezea kipigo haswa aseme ni nan aliekua anachat nae ? Lakin mwanamke akagoma kusema yule jamaa ikabda asome jina langu kupitia tgo pesa akawa anaulizia watu especially pale kwenye guest kama kuna MTU anaitwa chlorine gas basi kuna mhudumu Wa guest akaja kunistua kua ninatafutwa na mapanga akanambia inabidi nihame guest nikahamia guest Nyingine ,basi kuna cku mumewe alisafiri kikazi yule mwanamama akachukua cm akanipigia akilia akiomba msamaha kwa yaliyotokea nikamwambia fresh tu mm sina tatizo nae akasema mumewe kasafiri anataka tuonane ajue nlipo hamia basi nkamwelekeza akaja duuu nakumbuka cku hyo alispend cku nzima namgonga tu ila ucku mida ya sa 4 wakat nnamshughurikia mumuwe akapiga cm akamuukiza upo wapi ??mdada akajibu nko nyumban nmelala [emoji23] [emoji23] nikwa nacheka kimoyo moyo kua angejua mke wake alipo angejinyonga yaaan mpaka leo sintokuja kusahau na ilinipa funzo jinsi wanawake walivyo especially waliokokwenye ndoa mpaka namaliza field naondoka mdada alikua Analia hata niondoke nkamwabia ntarudi ucjali kumbe ndo moja kwa moja najisepea mpaka Leo anapiga cm niende namrusha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkuletee miwan nn??ila mm.sio.mwandishi mzuri ndo Mana unaona kuna mabonde kuina na kuinukaDuh..
Atakaeweza kusoma kwa paragraphing staili hii aniambie!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkuletee miwan nn??ila mm.sio.mwandishi mzuri ndo Mana unaona kuna mabonde kuina na kuinuka
Ilikua muda sana mkuu sa hv nmekua n MTU mwingine kbsaSafi sana mkuu, ila kumbuka maeneo ya migodi kuna kiwango kikubwa sana cha maambukizi ya VVU hivyo nakushauri safari nyingine uwe makini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmeoa mkuu ilikua zaman sanaPole sana kwa kujivunia laana hiyo. Huyo mwanamke unasema ati alikuwa mlokole!! Hayo maajabu sikujaliwa kuyasikia hadi leo. Sasa; Ikiwa kweli alikuwa mlokole umejipalia mkaa kwani:
1. Umeliharibu hekalu la Mungu hivyo Mungu mwenyewe atakuharibu.1 Kor. 3 : 16, 17.
2. Hujaoa, hivyo hujui uchungu wa kuliiwa mke.Wewe umekula mke wa mtu na wako ataliwa tu. Ayubu 31 : 1, 8 - 10.
Usitambe kuwa umekula vya wenyewe bali lia kuwa hata wa kwako ataliwa tu tena porini acha wewe ulimlia wa mwenzio guest.
Sawa mzee babaUmefundishwa kutunga insha primary school..
Umefundishwa kuandika barua na muundo wake...
Umefundishwa nahau na mpangalio wa paragraph au parandesi kwa Kiswahili...
Umefundishwa kuhariri insha au barua au andiko lolote la Kiswahili.....
Umesoma na kufaulu vizuri...
Cha ajabu leo unachoandika ni kinyume kabisa..ni ngumu kusoma mzee....hebu tumia ubongo acha uzembe kabisa!
Miwani haina uhusiano na huu mpangilio wa kijinga....Step your writing game up,this is too low for an adult like you!
Ha ha ha acha utan banaWe jamaa utakuja utatuliwe rinda siku moja, hao viumbe hawana akili mzee baba.
Ha ha ha acha utan bana
Jibu Murua kabisaPole sana kwa kujivunia laana hiyo. Huyo mwanamke unasema ati alikuwa mlokole!! Hayo maajabu sikujaliwa kuyasikia hadi leo. Sasa; Ikiwa kweli alikuwa mlokole umejipalia mkaa kwani:
1. Umeliharibu hekalu la Mungu hivyo Mungu mwenyewe atakuharibu.1 Kor. 3 : 16, 17.
2. Hujaoa, hivyo hujui uchungu wa kuliiwa mke.Wewe umekula mke wa mtu na wako ataliwa tu. Ayubu 31 : 1, 8 - 10.
Usitambe kuwa umekula vya wenyewe bali lia kuwa hata wa kwako ataliwa tu tena porini acha wewe ulimlia wa mwenzio guest.
Daah unachukua namba kirahisi ivyo kwa mke wa mtu bila sababu au ulizimika naww? Mke wa mtu sumu jamaniMambo vip wakubwa,,
Story iko hvi nakumbuka kuna mwaka nlikua field kwenye moja ya migodi ya accacia zaman barrick gold mine (bulyankuru Gold mine) iliyopo kakola kwa kua nlikua sijawahi fika ikabdi nifikie guest fulan ambayo nlikua nalipia kwa cku kwa muda wote mpaka field itakapoisha karbu na hyo guest kulikua na Dada mmoja ni mlokole ameolewa ana mototo mmoja alikua anaishi na mumewe huyo Dada alitokeaga kunipenda sana kuna siku alinikuta dukan nna nunua vocha ndipo alipo anza kunipa salamu na tukapiga story kidogo tukabadirishana Namba kwa kua mumewe alikua anafanya kazi muda ambao mumewe yupo kazin tulikua tunachat kwa kua alionesha shobo ikabidi nimtongoze akakubali ikawa namgonga kinoma noma kila muda mumewe akiwa hayupo namkula tu ,sasa kuna cku mumewe akazifuma meseji tukizokua tunachat nae akambana kwa kipigo na alichezea kipigo haswa aseme ni nan aliekua anachat nae ? Lakin mwanamke akagoma kusema yule jamaa ikabda asome jina langu kupitia tgo pesa akawa anaulizia watu especially pale kwenye guest kama kuna MTU anaitwa chlorine gas basi kuna mhudumu Wa guest akaja kunistua kua ninatafutwa na mapanga akanambia inabidi nihame guest nikahamia guest Nyingine ,basi kuna cku mumewe alisafiri kikazi yule mwanamama akachukua cm akanipigia akilia akiomba msamaha kwa yaliyotokea nikamwambia fresh tu mm sina tatizo nae akasema mumewe kasafiri anataka tuonane ajue nlipo hamia basi nkamwelekeza akaja duuu nakumbuka cku hyo alispend cku nzima namgonga tu ila ucku mida ya sa 4 wakat nnamshughurikia mumuwe akapiga cm akamuuliza upo wapi ??mdada akajibu nko nyumban nmelala [emoji23] [emoji23] nikwa nacheka kimoyo moyo kua angejua mke wake alipo angejinyonga yaaan mpaka leo sintokuja kusahau na ilinipa funzo jinsi wanawake walivyo especially waliokokwenye ndoa mpaka namaliza field naondoka mdada alikua Analia hata niondoke nkamwabia ntarudi ucjali kumbe ndo moja kwa moja najisepea mpaka Leo anapiga cm niende namrusha tu
Na usijaribu mkuu sio vzur mm ilikua utoto tukitu sijawahi fanya hadi umri huu ni kuchezea mke wa mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa nahc alikua hamsugui fresh Mana Demu alikua ana miny...ge balaaHawana jipya hao ya kawaida hayo mbona
Huku mtaani vijana kibao wanaolea nyege huwa tunawasaidia sana sekta iyo