Shida ni mzee wa maigizo sio CHADEMA

Shida ni mzee wa maigizo sio CHADEMA

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
✳SHIDA NI MZEE WA MAIGIZO NA SIO CHADEMA✳

Wafuasi wa chadema asilia toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote Tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "NI BORA WAMCHAGUE JEMBE MAGUFULI KULIKO MZEE WA GWAJIMA"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama Chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu MZEE havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

WANACHAMA HAO WANATOA RAI KWA MAKUNDI MENGINE KTK CHAMA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA NA KUKATAA KUBULUZWA NA MAFISADI.

WANAMPONGEZA DR MAGUFULI KWA AJENDA ZAKE ZA KUKOMESHA UFISADI NA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA.

HAPA NI KAZI TU.
 
Utumbo tupu!, Lowassa juzi kaja huku kwetu Kila mtu Lowassa na sio mtu mwingine, baba, mama, wadogo zangu na mke wangu mpk michepuko yangu wooooote tunakwenda kuichinja ccm ktk sanduku la kura octobr 25
 
✳shida ni mzee wa maigizo na sio chadema✳

wafuasi wa chadema asilia toka 2010 chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "ni bora wamchague jembe magufuli kuliko mzee wa gwajima"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu mzee havai sare yetu ya chama? Hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

Wanachama hao wanatoa rai kwa makundi mengine ktk chama kuchukua hatua za haraka na kukataa kubuluzwa na mafisadi.

Wanampongeza dr magufuli kwa ajenda zake za kukomesha ufisadi na kutengeneza ajira kwa vijana.

Hapa ni kazi tu.
kama chadema ilikuwa na heshima kipindi hicho mbona hamkuipigia kura? Sasa ndio chadema wana heshima na watapewa dola.
 
✳SHIDA NI MZEE WA MAIGIZO NA SIO CHADEMA✳

Wafuasi wa chadema asilia toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote Tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "NI BORA WAMCHAGUE JEMBE MAGUFULI KULIKO MZEE WA GWAJIMA"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama Chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu MZEE havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

WANACHAMA HAO WANATOA RAI KWA MAKUNDI MENGINE KTK CHAMA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA NA KUKATAA KUBULUZWA NA MAFISADI.

WANAMPONGEZA DR MAGUFULI KWA AJENDA ZAKE ZA KUKOMESHA UFISADI NA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA.

HAPA NI KAZI TU.

Mnafik mkubwa ww unaandika uzi wa kipuuz xana huna hata aibu hebu tupe mfano wa hao wanachama wa chadema unao wazuxhia uharo wako huo kwanza umexhajionyexha waz kupitia ulichoandika kuwa ww n ccm.ushauri kojoa ulale ukiamuka utakua umejipanga
 
baba wa taifa alishavaa kijani? wwe si mwana peoples kama vp kaa kando na kijani yako
 
Ahahahahaaaa ni sheeeda ndani ya ukawa na bado watanyooka tu maana wanaburuzwa ufahamu na wajanja wachache waliokula chao mapema
 
Mnafik mkubwa ww unaandika uzi wa kipuuz xana huna hata aibu hebu tupe mfano wa hao wanachama wa chadema unao wazuxhia uharo wako huo kwanza umexhajionyexha waz kupitia ulichoandika kuwa ww n ccm.ushauri kojoa ulale ukiamuka utakua umejipanga

Xaxa imexahau kixwahili?
Mbwembwe zisizo na maana
 
Ahahahahaaaa ni sheeeda ndani ya ukawa na bado watanyooka tu maana wanaburuzwa ufahamu na wajanja wachache waliokula chao mapema

Uzuri wameridhika kutumika so hawahitaji hata huruma!
 
SHIDA NI CCM na wala sio POMBE. Kijana hupaswi kuwa mzushi na mnafiki. VIVA EDO, VIVA UKAWA.
 
Back
Top Bottom