Shida ni hii hapa

HUITAJI =Γ—
[emoji41]
 
Yaani umegoma kabisa kubadilisha mwandiko
 
Katoto kazuri kana maneno mazuri
 
Nahisi kapenda pasipo pendeka tuliza hisia zako yupo aliepangwa kuwa na wewe
 
Kilio hiki sio bure hebu funguka kipi kimekukuta aisee.
Wala nijuzi nimesoma post ya mwanadada aliyesema bado hajapata anatafuta woi.
Napost ya before alisema wanakaribia kuoana msubiri kadi humu usitegemee mtu atakuoa no.
1.hatujuani
2.avatar feki
3.kuonana ndoto
Sasa userious utokee wapi kam mtu miaka 3 nimmemjua mtu mwaka wa nne natapeliwa hela za watu ml.5 hazijarudi ai ndio umpe kweima.
 
Wanaume serious humu wapo bana. Na pia marafiki wazuri pia wapo mi ninao tunaonana tunasaidiana nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…