Shida ni hii hapa

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Humu kuna wanaume wenye huitaji wa mwanamke sana tena sifa tunazotaka ila kuna shida moja hawana uaminifu kama huyu msichana au mama au dada kama anamaanisha na hamjui kila mmoja ana avatar ya uongo ambayo si uhalisia wa kweli majina ni tofauti naumbali unachangia .
Hata woga unachangia hivi huyu dada ni mwaminifu huyu ni mkweli je nikimfukuzia sintoopigwa na boyfriends zake??.
Woi nandio the same to ladies.
Hay basi ndio maana humu kulalama ni kawaida watu wanaenda kulana tu ila kuna part moja iko serious ingine ni player.
Mimi kweli uhitaji wa mtu ninao ila huku siko serious kwa ajili hiyo ndio maana niko open na write anything ambayo nataka na wanasema maneno mengi mabaya ila sijali because hatujuani pressure zanini.
Mume hutoka kwa Mungu na mke hutoka kwa Mungu.
Nikienda shule hujui ataniona huko au nikiwa naenda sokoni au kufurahia sehemu namkuta my love na mnasikia nimesahau huku kabisa kumbe nimepatwa.
Waweza kumdharau mtu humu ukaja kumuoa na hamjuani baadae kumbe unamkuta ni demiss au ni mwingine .
Maisha nikumuheshimu mtu usipende kumtupia mtu lawama.
Hujui huyo unayemdharau ndio anatakusaidia uko mkoa wawatu.
Madharau ni mabaya kama wewe umezoea kudharau watu .
Nimemaliza yangu i hope mmenielewa .
 
amu veli adikitedi wisi pm ..... NAKUJA PM SASA HIVI
 
Yanga bingwa 2019-2020 acha kupotosha uma joanah
 
jaman waafrica Mungu ametupa utashi pia tufanye maamuzi yetu wenyewe, kila kitu tunamwachia Mungu. Sasa ndege na wanyama wasio na utashi watafanya nn ? hata swala huku porini akimuona simba anajiongeza kwa mbio jamani.
katoto kazuri ebu nifuate ndani ya box tutete acha kuzuga.
 
Siwezi mwaya ni ngumu kabisa hii inatoka moyoni
 
Heshima ni muhimu hata kama hatufahamiani, kutumia fake ID's ni sababu tosha ya kumtizama mtu kwa jicho la tatu na mwenye maamuzi ya mwsho juu yako ni wewe kwa yote unayoyafanya.
 
wanasema maneno mengi mabaya ila sijali because hatujuani pressure zanini.
Mi humu wanaonijua na nishakutana nao ana kwa ana ni watatu tu...lakini najifariji sababu hawapajui geto/home
 
Hapo kwenye Yanga badilisha weka simba kabla sijakung'oa meno.
AM SERIOUS.
 
Kilio hiki sio bure hebu funguka kipi kimekukuta aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…