Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,484
- 1,676
Ameshauriwa hilo ili atoke? Huoni kwamba huo ni uthibitisho kuwa yuko ndani kiuonevu? We Mjinga, hii hoja yako haina maashiko. Jipangeni upya.Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Serikali ya mseto ya nini?Kwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Unaweza kuunda serikali ya mseto na wauuaji? Hukumbuki JK aliwasha moto AU alivyosema Kagame aongee na wale wauaji? Sasa hivi CCM ni kufutwa tu, wamemwaga da mu nyingi mnoKwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Unazo fikra za kipuuzi sana.Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Ya kufanya maandalizi ya kupitisha katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, kwa hiyo mnafikiri kuna watu wataachia madaraka kirahisi rahisi au kwa mashinikizo kama haya? Wamesha waambia "who are you"?Serikali ya mseto ya nini?
Itasaidia nini?
Uvhaguzi huru na wa haki ufanuike tuone nani atashinda.
Bangladesh wameweka serikali ya mpito hawajaweka serikali ya mseto.Ya kufanya maandalizi ya kupitisha katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, kwa hiyo mnafikiri kuna watu wataachia madaraka kirahisi rahisi au kwa mashinikizo kama haya? Wamesha waambia "who are you"?
Aliweza kung'atuka Nyerere peke yake wengine hizo dalili hata hazipo maana wanatamani wakitoka wao waingie familia zao
Kulithibitisha hili chungulia baraza la mawaziri
Aliamuru kitu cha hatari sana kwa hatma yake,naamini atakua anajutia sana maamuzi yakeWameshamharibia mwenzao. Ataishi kwa mawenge maisha yake yote baada ya kustaafu. Wao walistaafu kistaarabu hawawazi tume wala mashtaka. Mwenzao itamlazimu kufuatilia siasa za tanzania mpaka atakapokufa. Jambo la Mo29 halitamweka confortable. Mabadliko yoyote ya mfumo yatamnyima usingizi. Uwezekano wa kushitakiwa kwa mauji yale hata baada kustaafu ni mkubwa ndani au nje ya nchi. Itategemea sana nani anongoza nchi. Hakuna kiongozi dunia ambaye alifanya mauwaji ya Raia wake kwa kiasi kama hiki akaishi maisha bila kubughudhiwa na mifumo ya haki na tume huru. Hawa waliomzunguka kwa wakati huu wengine watakuwa wamejichomoa kwenye huu msala au watatoa sauti ambazo hakuna mtu ataziona za maana tena.
Mawazo yako mazuri tu tena yana mwelekeo wa kizalendo. Nadhani tuupe mchakato wa ICC nafasi ili tutekebishe makosa yaliyotufikisha hapa kwa kiburi tu. 🤔Kwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Katiba mpya itakuja na sisi tutakuwa vizuri tu lakini Lissu ni mkorofi, na asilimia kubwa yeye ndiye aliyetaka huu upumbavu utokee ili watu wakose wote.Kwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Kwa LIssu mwenyewe.Hayo "matarajio makubwa" unayomtwisha Lissu umeyapata wapi wewe
Ungeeleza ulichoona au kusikia toka kwa Lissu kuhusu jambo hilo ingesaidia zaidi, kuliko ulivyofanya hapa.Kwa LIssu mwenyewe.
Na hapa ndio tutaendelea kuwa maskini, ni roho mbaya tuTatizo ccm hawataki kupoteza chochote au mabadiliko yeyote kwenye utawala wao.