PostGE2025 Shida iko wapi kuunda Serikali ya mseto?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Kwa hapa tulipo akipewa aunde serikali yake na watu wote waliopo kwa sasa wakae pembeni ataweza peke yake? Na je, hakutakuwa na mgongano wa kimaslahi na hao kina "who are you" wanapiga kelele kwasasa?

Ili nchi ibaki kwetu naamini mseto hauepukiki kwasasa, wakae pamoja (wapo ccm wenye akili na uchungu na nchi yetu sio lazima wawe hawa kina kijitabu) wachanganye mawazo pamoja nchi isonge mbele
 
Shida Wamesha Jimilikisha Hii nchi
Wanaona kama wao ndio Kila kitu
Mawazo yako mazuri lakini Hawana Hiyo Akili ya kufikiria hilo
 
Mawazo yako ni .nzuri tena sana.
Kikwazo ni CCM na serekali yake, kuruhusu hilo jambo hilo ni kuwatoa kwenye ulaji.
 
Unadhani suruhisho ni lipi? Hayo maandamano No way yanawatisha

Hizo kesi za kimataifa No way zinawatisha! Wanatokaje sasa na wameshikilia mpini
Maandamano ya kuchoma ccm na polisi popote walipo, magari yao, vibanda vyao, na wao wenyewe popote walipo.

Wanaotaka kuandamana kwa amani wasubiri tumalize yetu.
 
Uko timamu kweli wewe ???
 
Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.
Akikubali kugawana madaraka ya kilaghai atachukiwa na wengi.
Ataonekana amewasaliti waliojitoa kufa na kuharibu maisha yao sababu ya mabadiliko ya kweli.
Lengo la Lissu siyo kupata madaraka tu, bali kubadili kabisa huu mfumo wa uovu wa CCM. Hasa mtandao ulioteka chama Chao Cha mapinduzi na nchi kwa ujimla.
Kuondoa mianya ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
Akitaka madaraka tu bila kubadili mfumo atakuwa Hana tofauti na Mbowe. Pia ukija uchaguzi ujao bado wapinzani wanaweza kufanyiwa uhuni kama huu tena.
Ushahidi wa hili ni SUKI ya Maalim Seif Zanzibar au serikali ya muundo huo kule Kenya ya Raila Odinga na Kibaki au na Rutto baada ya 2007.
 
Serikali ya mseto kaiweke wewe na Familia yakoo kwanzaa!!
Unafikiri kila unachowaza kifanyike tu wakati umejificha kwenye keeyboard!..
 
Reactions: Tui
Serikali haramu inapaswa kuondoka kwanza. Hukunq cha kusetuka wala kuridhiana
 
Maandamano ya kuchoma ccm na polisi popote walipo, magari yao, vibanda vyao, na wao wenyewe popote walipo.

Wanaotaka kuandamana kwa amani wasubiri tumalize yetu.
Wakati huo wao wanawatazama tu kama hawawaoni au unaota?
 
Serikali ya mseto na wangese waliochoma nchi,waliogombanisha watanzania' wakafikia kuuana!?..hao yao jela kama si kunyongwa
Serikali ya mseto na walioshiriki uchaguzi labda
 
Reactions: Tui
Waweke tume huru mezani dora igombaniwe
Hapa bado kuna tatizo pia, hata ingeundwa tume huru kiasi gani kwa mazingira ya sasa hakuna atakayeamini kuwa ni tume huru na hata hao wajumbe wenyewe hawataamini kama wako huru kwasababu atakayewateua ni aliyeko madarakani sasa hivi ambaye wengi wanaonekana kutomuamini

Hivyo ili kurejesha imani kwa watu na chochote kitakachofanyika ndiomaana mimi naona lazima kuwepo na ushirikiano kati ya wanaoonekana kuaminiwa

Kwa mfano, Jaji Othumani Chande ni mtu mwenye heshima zake katika nchi hii, lakini angalai namna tume yake ilivyokosa imani hata kabla haijaanza kazi.
 
watu tutaamini tu
 
Katiba Mpya + Tume Huru Ya Uchaguzi = Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…