Shibuda maji ya shingo Maswa

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Ukiambiwa namna chadema ilivyomuokoa na kunyongwa shibuda hasa baada ya zile tuhuma za mauaji 2010 unaweza ukalia ! Asikudanganye mtu , malipo ya uovu ni hapahapa duniani .
 

Mshahara wa dhambi ya ubabe na usaliti wake; alifikiri CCM watamsaidia kwa kuibomoa CDM. imekula kwake!
 
Mshahara wa dhambi ya ubabe na usaliti wake; alifikiri CCM watamsaidia kwa kuibomoa CDM. imekula kwake!
hakika Mungu yupo na anatenda , huyu aliokotwa na kuhifadhiwa na chadema akiwa ametupwa kule na ccm lakini shukurani yake ikawa usaliti !
 
Reactions: MTK
Bora hata Anna Makinda aendelee na uspika kuliko Shibuda kurudi Bungeni
 
Na huyu msaliti mwingine Kigoma mjini hali yake vipi?!
 
Hivi yule mtaalam wa vijembe nchini, mwenye rangi nyingi, mara huku mara kule ambaye hatimaye alihamia chama cha Kambona cha TADEA yuko wapi?

Kashinda ubunge au anatafuta gear ya kurudi CCM?

Ama kweli siasa ni mchezo mchafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…