Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,539
- 284,027
mtoto akililia wembe mpe.
Makeke yote na misamiati kwisha kazi !Ngoja akome.
tadea .anagombea chama gani?
mna kelele sana
mna kelele sana
TADEA!!!!! Mbona Sijaona Hata Wagombea Wao Wa Udiwani Tu POPOTE Pale!!! Nasikia Amezindua Kampeni Last Sunday!!! Tehe! Tehe! Tehe!! Alidhani CCM Wangempa Misaada!! Alijipendekeza Kwao Kwa Kiasi Cha Kukidharirisha CHAMA Kilichompatia Nafasi Ya Kugombea Ubunge!!!! Ndio Kwishineiiii!!!!
Haya mkuu .mna kelele sana