Shibe mwanamalevya

Astakafullah....simpendi huyo mdudu wajameni hata kutype ninaandika huku nimefumba macho kwa jinsi ninavyomchukia hahaahhhah!!!
 
Mimi nikimkuta amemeza kitu huwa sihangaiki natafuta gunia yale ya kupakilia pamba namuweka humo safari inaishia kwa jamaa yangu maarufu mitaa ya buswelu bwana SHING nakatiwa zangu 100,000/= kiroho safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…