Husna Muba JF-Expert Member Jan 28, 2017 14,524 44,567 Jan 5, 2018 #1 Lakini Shetani ni m'baya sana.. Sa alikua anamjaribu Yesu eti abadilishe mawe kuwa mkate. Tungekua tunajenga nyumba na nini? imagine Unashindwa Kulipa Rent Landlord anakuja na Chai Anakula Nyumba yake Unalala nje?
Lakini Shetani ni m'baya sana.. Sa alikua anamjaribu Yesu eti abadilishe mawe kuwa mkate. Tungekua tunajenga nyumba na nini? imagine Unashindwa Kulipa Rent Landlord anakuja na Chai Anakula Nyumba yake Unalala nje?
Baba Swalehe JF-Expert Member Jun 6, 2017 19,796 38,589 Jan 5, 2018 #3 Hahahahahhahahahaaha shetan mpuuz sana amekamata hadi akili za maccm
Husna Muba JF-Expert Member Jan 28, 2017 14,524 44,567 Jan 5, 2018 Thread starter #4 baba swalehe said: Hahahahahhahahahaaha shetan mpuuz sana amekamata hadi akili za maccm Click to expand...
baba swalehe said: Hahahahahhahahahaaha shetan mpuuz sana amekamata hadi akili za maccm Click to expand...
Papaa Gx JF-Expert Member Oct 10, 2016 10,524 16,593 Jan 5, 2018 #5 aisee we jamaa mpuuzi kwel yaani.
eRRy JF-Expert Member Jun 12, 2009 1,125 204 Jan 5, 2018 #7 Nimecheka hadi machozi kunitoka. Sijui ulikuwa unafikiria nini haswa