habari wandugu,
natumaini asubuhi inaenda poa,leo nimekumbuka wimbo flani wa kwaya niliousikia kwenye mnuso mmoja weekend iliyopita unaitwa "zunguka zunguka",kuna mahali wanaimba "shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari"...je ni kweli shetani ana mama mkwe? huyo mama mkwe atakuwa ni nani?
mnaojua nihabarisheni
cc: watu8 Chimbuvu Bujibuji Filipo, Boflo Madame B Mtambuzi Mbuzi Mzee lara 1 et,al.
we humjui mama mkwe wa shetani?? Uko dunia gani?
Mbona yuko humu humu JF?
Ni mzinzi, msengenyaji, muongo, mchonganishi, ni mlevi, mtumia dildo, ni msagaji, ana hiana, husda na kila tabia tabia mbaya. Chunguza utamjua tu
sio mamamkwe tu ana hadi mawifi
huujui huo wimbo mkuu? una beat z ukweli usipime:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky:
huujui huo wimbo mkuu? una beat z ukweli usipime
:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky:
:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky: