shetan wakati wa sex

wewe ulishawahi kumuona shetani? au inakuwaje mkuu? hizo ni njia za kukupotezea gap tu wewe mlazimishe uone kama huyo shetani atatokea
 
Akipandisha tu mashetani,mtie kofi la uso..kofi haswa..lazima shetan atoke na atakaa sawa!

Haha JF kweli ni hatari huwa siachi kucheka kwa kweli daaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kaka pole sana kwa tatizo lako. nimewah kusikia mtu mwenye tatizo kama hili ila yeye alikuwa ni mkewe ndio mwenye hii shida, so.

inshort nikwamba huyo binti ana majini ambayo yamo mwilini mwake wenyewe wanasema ni kiti( yaani binti ndio kiti). majini mengine kama yalishaingia mkataba na binti basi yaweza kuwa ndio mume wake na haya huwa yana wivu sana hayapendi kushare mapenzi kama jinsi ambavyo sisi binadamu tupo.

ushauri wangu kwako nenda mpeleke mpenzi wako kwenye maombi, ili aombewe la sasa yampasa yeye kuridhia toka moyoni kuwa hayataki kabisa. haya mambo yakuwa possessed by demons ni mabaya na kama ni wa future yatakuzingua sana. akisema mwenyewe pasi kulazimishwa kuwa hayataki na akiufungua moyo wake kuwa hayataki basi just pm mm nitakuagizia au hata kukukutanisha na mtumisha anayeweza kuyaondoa. pole sana dogo.

usikwazike na majibu ya wanajamvi soma yote kisha chukua yanayofaa.
 
Ascnte kcka
 
kama ulikuwa kichwani mwangu vile! Shetani akipanda asimjali wala nini ajifanye kama hamsikii halafu aendeleze mpambano.

Yan ye mashetan yakimpanda na we mpande. Tumia ujasiri atafurah mwenyewe mukaka akiwa ndan. Jarib hvyo kwanza kabla ya ha2a nyingine kufuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom