Umeshtukia!ngoja wakuvimbishe kichwa na uto tuvyuma twako unatonyanyua hawakutakii mema hawa ooohh.Nina wasiwasi anaweza kukupiga stop hata ya kuja hapa jf.
Wapwa na mabinamu, huyu nguli anahitaji ushauri, hatutaki kuja kuleta matunda MOI ukiwa umepigwa kama umegonwa na trekta ya kilimo kwanza, dont say we didnt warn you.
Mtoa bandiko nae simuelewi kama kweli unataka kumsaidia huyu dada ungesema yafuatayo anapenda mtu wa aina gani, e.g dini/kabila/utaifa au elimu yake etc.
pia hujaeleza anatoka wapi? ila naona kama ni wa mitaa ya kunako box.
Na mbona contact huweki au umeshamchukua unajaribu kuona kama kuna mfwasi hapa.
Wapwa na mabinamu, huyu nguli anahitaji ushauri, hatutaki kuja kuleta matunda MOI ukiwa umepigwa kama umegonwa na trekta ya kilimo kwanza, dont say we didnt warn you.
Nipatie contact zake tena huyu ndio mzuri hachoki hata mwende asali mwezi/honey moon ya mwezi yeye yuko fit tatizo kidogo kwenye ugomvi anaweza akanikaba ila anyway nitakomaa nae.
Kuchelewa kurudi home Ngumi kumi na nne Kuchelewa kupokea simu Vibao vitano Kutoka na kabinti kengine Mateke Kukutwa na msg ya mahaba Kabari Fumanizi Matege, vifuti na vipepsi vya kumwaga
Kuchelewa kurudi home Ngumi kumi na nne Kuchelewa kupokea simu Vibao vitano Kutoka na kabinti kengine Mateke Kukutwa na msg ya mahaba Kabari Fumanizi Matege, vifuti na vipepsi vya kumwaga