kuna ground za mwajili kusitisha mkataba na ww moja ikiwa kutokuwa na uwezo na kazi ile (hata kama uko trained kwa 3yrs ) ila umeshindwa fikia vigezo vya kutenda kazi anaweza vunja mkataba.Mkuu hii kazi ni nyeti na kwani sheria inasemaje kuhusu mwajiri kuleta mgeni kwa kazi ile ambayo wewe mzawa umepigwa chini ilhali umekuwa trained for more than 3yrs kufanya hiyo kazi na huwezi kuajirika kwingineko kwakuwa uko trained to work in that specific technology. Wanaleta watu wa nje kisa ni kazi ya miezi minne but what about me? Sina kazi na siajiriki kwingine:
kuna ground za mwajili kusitisha mkataba na ww moja ikiwa kutokuwa na uwezo na kazi ile (hata kama uko trained kwa 3yrs ) ila umeshindwa fikia vigezo vya kutenda kazi anaweza vunja mkataba.
cha muhimu katika kuvunja mkataba anatakiwa akulipe stahiki zako.
suala la kutoajirika kwingine halimuhusu mwajiri alievunja mkataba, kama amaesha kulipa.
kuvunjwa kwa mkataba wako kupo kwenye ground ya dismisal/retrenchment for oparation requirement. hapa mwajili hupunguza wafanyakazi kwa kigezo cha kuyumba kiuchumi, muundo wa ajira, tekinology ama kubadiri mfanyakaziWell alinilipa stahiki zangu. Na mkataba haukuvunjwa kwa sababu yoyote isipokuwa Hali ya kibiashara uliyumba kwa wakati huo na mwajiri kupunguza kazi sana. Sasa what about now ambapo amepata business tena?
Kwasababu ni sheria basi ni lazima kusubiri labda utoe mapendekezo hiyo sheria ifanyiwe marekebishokwa hiyo tukimaliza mkataba na 30yrs tuendelee kusubiri tu mpaka 55yrs kwa maana ni sheria?
Kwa taarifa yako fao lakujitoa limesimamishwa teayri wakisubiri mapendekezo ya bungeUnachanganya mada.
Hilo ni fao la kujitoa ambalo kwa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo bado haijapita linataka kufutwa.
Kukasirika haisaidii. Dawa ni kupaza sauti kupitia mikutano ya wadau hata kumwandikia spika wa bunge barua rasmi ukionyesha hoja zako. Usimsahau mbunge wako.
Haya mambo hayataki hasira.
Mzee wa kaskazini laigwanani, sijawahi pigia kura ccm in my life time, kura nilipigia kijijini kwetu na aliekuwa anagombea kwa tiketi ya ccm ni binamu yangu kabisa lakini si kumpa kura yangu japomkuwa alishinda kimagumashiUlimpigia nani kura? Jibu hapo halafu tujadili kujitoa
kuvunjwa kwa mkataba wako kupo kwenye ground ya dismisal/retrenchment for oparation requirement. hapa mwajili hupunguza wafanyakazi kwa kigezo cha kuyumba kiuchumi, muundo wa ajira, tekinology ama kubadiri mfanyakazi
kwa kuwa alikuwa na kigezo cha kupunguza wafanyakazi (hicho hapo juu) yuko sahihi ila alitakiwa kuzungumza na ww juu hali ya kampuni na kusema wafanya kazi wepi wataathirika. pia alitakiwa wasiliana na chama ch wafanykaz kuwapa taarifa nao wathibitishe
suala la kukuajili upya baada ya hali kutengemaa haikuwa lazima labda kama mkataba wa awali ulisema watawapa kipaumbele.
wengine wataongezea pale nilipoacha ama kupotoka
Tumeumia! Pole I am a retired officer but have my kids and the public in general facing this gross injustice!Mzee wa kaskazini laigwanani, sijawahi pigia kura ccm in my life time, kura nilipigia kijijini kwetu na aliekuwa anagombea kwa tiketi ya ccm ni binamu yangu kabisa lakini si kumpa kura yangu japomkuwa alishinda kimagumashi
kama iko ivo bas ana haki ya kusikilizwaKwenye retrenchment agreement kuna kipengele cha kuajiriwa tena Hali ikiwa nzuri
Mkuu,Mimi ni mtumishi wa umma. Ni muajiliwa wa halimashauri. DED ndio muajiri wangu. Katika mkataba wangu wa kazi kuna kipengere kinchobainisha kuwa nitakua na annual increment ya 10% katika mshahara wangu kila kuanzia tarehe 1 mwezi wa saba. Sasa ni mwezi wa kumi muajiri ajatekeleza kipengere hicho cha mkataba. Mbaya zaidi hajanitaarifu sio kwa mdomo wala maandishi. Swali je muajiri atakua amevunja mkataba? Na je naweza kumsue mahakamani kwa kushindwa kutekeleza mkataba na kunilipa pamoja na fidia ya usumbufu? Pia ifahamike nimewasiliana na mkuu wangu wa idara ameishia kusema hayo ni mambo ya juu. Afisa utumishi nae ameishia kutabasamu tu huku nae akinionyesha barua yake ya kubadirishiwa mshahara lakini haoni mabadiriko ktk account yake na mwanasheria wetu amedai hata yeye ajui kama awamu hii iko tayari kufuata taratibu na miongozo ya kazi. Nasubiri jibu mkuu
Kiongozi habari za Kazi?. nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30 Septemba. Niliwaomba nauli za kunisafirisha Mimi na vitu vyangu lakini wakakataa, Je kwa mujibu wa sheria ninapaswa nilipwe aje kwa ajili ya safari na je wanapaswa kunilipa posho za kujikimu tangu mkataba wangu ulipoisha mpaka siku ya kusafiri?. Na kisheria posho ni shilingi ngapi kama mshahara wangu ulikuwa 1,100,000/=
Nimekuelewa mkuu. Nitampa notice atekeleze mkataba.Mkuu,
Muombe kwanza huyo muajiri wako atekeleze mkataba wake( yani hicho kipengele katika huo mkataba).
Utakapoona hafanyi hivyo nenda mahakamani ukatafute haki yako hakika hautatoka mahakamani mikono mitupu lazima utapata haki yako.
Pia kuhusu suala ya fidia inabidi ujipange vizuri kuithibitishia mahakama kuwa kutolipwa asilimia 10% hiyo inanisabanishia hasara fulani na ili ulipwe fidia lazima hiyo hasara isiwe imejificha na iwe ni hasara ya moja kwa moja.
Hapo mnachezeana shere. Mwajiri anakwepa kukuajiri badala yake anakupa mkataba wa miezi 3 halafu kwaakusudi anaukosea ili ubishe akusubirishe miezi 3 ndipo akupe mkataba mwingine. Hiyo ni kama wale ambao kila miezi 3 wanalazimushwa kubadili majina au herufi ili uonekane mtu mwingine.Kama ninafanya kazi na sina mkataba, yaana nilikua na mkataba na uliisha lkn kampuni ilinipa mkataba mwingine na mm sikuukubali kwa ajir ya maslai, lkn wakanipa ahad kuwa endelea kufanya kaz tuu, baada ya miez mitatu tutakurekebishia mkataba wako, sasa mm nataka kuacha kaz, naandika barua ya kuacha kaz ili nipate stahiki zangu, je..!? kwa mujibu wa sheria ni haki kuandika hiyo barua na je sheria itanitaka nitumikie kampun kwa mda gani ili niweze kupata stahiki zangu, ikiwa pamoja na chet..!?
ahsante
Bahati mbaya sheria haisemi chochote kuhusu aina hiyo ya hoja. Kinachoangaliwa hapa ni kama umedhulumiwa na mwajiri.Mkuu hii kazi ni nyeti na kwani sheria inasemaje kuhusu mwajiri kuleta mgeni kwa kazi ile ambayo wewe mzawa umepigwa chini ilhali umekuwa trained for more than 3yrs kufanya hiyo kazi na huwezi kuajirika kwingineko kwakuwa uko trained to work in that specific technology. Wanaleta watu wa nje kisa ni kazi ya miezi minne but what about me? Sina kazi na siajiriki kwingine: