my friend, umefika mahali penyewe, sheria hizo zote za mirathi kwa dini, kimila na kiserikali zimewekwa kwenye kitabu kimoja kinaitwa SHERIA KWA KISWAHILI, utakipata kitabu hiki pale TPH bookshop dsm, sijui wewe uko wapi, tembelea blog hii bofya hapa
SHERIA KWA KISWAHILI utapata kitabu hicho. mle ndani kuna sheria zote hizo zimeandikwa kwa kiswahili, sheria za mirathi, sheria za wosia, sheria ya ndoa tz, sheria ya watoto na baadhi ya jinai.
SHERIA KWA KISWAHILI
View attachment 115524
View attachment 115525View attachment 115525