Jamani mimi naamini na wengine pia tungependa kuona wenyewe badala ya kusimuliwa. Kama **** mtu anaweza kutumegea yale muhimu bila shaka tutashukuru. Pia kwenye uchangiaji itakuwa 15mins per MP sasa mkitupa list ili tuweze kukimbilia kwenye tv za karibu itakuwa jambo jema hasa kwa wabunge wanatoka maeneo ya machimbo bila kusahau michango ya akina Zitto, Slaa, Ole Sendeka. Pia kubalance Rostam, EL, Peter na Selelii.