Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Aaah jamani,usiwe hivyoKutoa ni kutoa na kupokea ni kupokea , ukitoa umetoa hakuna cha ukitoa utapokea , hayo ni maneno ya kujifariji tu.
Haya ni maneno ya kuhamasisha utu na ubinadamu tu.Aaah jamani,usiwe hivyo
Kuna ukweli ujue
Kwenye ulimwengu ukitoa unapokeaTusidanganyane mkuu, ukitoa imetoka hiyo mazee
Tomatho uyu 😁😁😁Aaah jamani,usiwe hivyo
Kuna ukweli ujue
😂😂😂 Sina kanisa mkuuHiyo niliishaichunguza imekaa kiuchumi zaidi
KabisaTusidanganyane mkuu, ukitoa imetoka hiyo mazee
Mbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?SHERIA YA KUTOA.
Kutoa ni kupokea. Kutoa na kupokea maisha. Kila uhusiano ni wa kutoa na kuchukua.
Sheria ya Utoaji inasema ukitaka kupokea kitu kwanza wape wengine.
Njia bora ya kupata kile unachotaka ni kuwasaidia wengine kupata kile wanachotaka.
Kutoa na kupokea, kwa nia sahihi, huruhusu mtiririko wa nguvu katika Ulimwengu kutoa kwa Mpaji na kwa Mpokeaji.
Kwa muda unaotoa utakuwa unapokea.
Maneno haya yamekaa kipigaji bwashee.Mbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?
Mkuu apa nazungumzia kwenye jamii acha nyumba za Ibada Amin nakeambia yule amsaidiae mwenye uhitaji wa kweli basi nae hupokea kwa wakat wakeMbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?
Wachungaji wanatajirika kwa sababu wanazijua kanuni za pesa ila wale wadiozijua huwa hawatajirikiMbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?
We jamaa huwa unajifanya mjuaji sana,Huwa unajifanya intelligent sana yan.Kutoa ni kutoa na kupokea ni kupokea , ukitoa umetoa hakuna cha ukitoa utapokea , hayo ni maneno ya kujifariji tu.
Hili gazeti sisomi aseee🚮We jamaa huwa unajifanya mjuaji sana,Huwa unajifanya intelligent sana yan.
Waliokwambia elimu ni bahari hawajakosea,Hii Dunia umeikuta Kaka na Hata ulipokuja hukuja kwa plan yako,yupo aliyeplan uje na wewe ukashtukia tu Upo Duniani.
Sasa huyo aliyekuleta Duniani Kuna elimu ameziweka na hzo elimu hazipo hta huko mashuleni,pia ameweka mifumo ya maisha watu waifuate,na usipoifuata utakufa na huo ujinga wako.
Ni Hivi,kutoa ni jambo ambalo hta hao wazungu unaowaabudu wanaijua siri yake,ni sheria ya kimaumbile inayoapply kwa mtu yeyote anayeifanya,haijalishi unamcha Mungu Au laa,Mungu ameiweka sheria hii ya kutoa Kama Zawadi kwa viumbe wake...ni kama ilivyo ile sheria ya UKILA LAZIMA UENDE CHOONI...KILA ANAYETOA MATOKEO CHANYA LAZIMA AYAONE.
Hao wazungu unaowaabudu wanaielewa vzr sana hii sheria ya kutoa na wanaifanyia kazi vizuri sana....unaijua BILLGATES FOUNDATION?....COCACOLA FOUNDATION? Lakini pia si Unaifahamu VODACOM FOUNDATION? Na nyingne nyingi....
Unafahamu kazi za hzo foundations?
Yan watu na Akili zao wameigundua hii siri ya kutoa Afu wewe unakuja na uharo wako kwamba wewe una Akili sana eti?....Akili zenyewe uzitoe wapi kma hta aliyekuumba unamkana,wewe si ni Kama maiti Hivi inayotembea?
Acha upuuzi wa kijinga jinga,ukiona watu wanapewa elimu flan usijifanye kimbelembele kudecline idea kana kwamb wewe Unajua sana wakati wewe ni kiumbe wa kawaida sana uliyetokana na shahawa na pengine huna Hata miaka 40 Tangu uje Hapa Duniani...hii Dunia Ina mabilioni ya miaka na hii sheriA ipo Tangu huko..achaga ujinga.
KILA UNAPOTOA MUNGU NDO ANAKUJAZIA ZAIDI ULIPOTOA..hii ndo sheria Haijalishi Unataka Au hutaki,hii sheria ipo tu na inafanya kazi kwa yeyote anayeiapply.
Umepanic sana mkuuWe jamaa huwa unajifanya mjuaji sana,Huwa unajifanya intelligent sana yan.

Hahaha nimesoma aya ya kwanza tu nikajua kapanic sana , na sababu sijui nizipi 😅Umepanic sana mkuu
Huwa ananikera sana huyu jamaa..... elimu ni pana sana wazee,Kwenye hii mitandao ukiona mtu kakuletea elimu flan usijifanye wewe ni mjuaji sana,unachotakiwa ni Kukaa na ujifunze na si kupinga pinga tu kila kitu.Umepanic sana mkuu
Ebu eleza kwa ufupi , upinge hoja zangu.Huwa ananikera sana huyu jamaa..... elimu ni pana sana wazee,Kwenye hii mitandao ukiona mtu kakuletea elimu flan usijifanye wewe ni mjuaji sana,unachotakiwa ni Kukaa na ujifunze na si kupinga pinga tu kila kitu.