Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,626
- 22,004
kumbe hata hujui nini maana mitume na holidays za kidini. wayahudi hawana chrismass wana kitabu chao kkitwacho Tolati na nabii wao ni Moses. wakristo tuna kitabu chetu cha injiri na nabii aliyeleta injiri ni emanuel na ndiyo maana tuna sherehekea siku yake ya kuzaliwa Xmass na siku yake ya kufa Masaka. myahudi hana hizo sikuu za kikristo kwa sababu yeyey ni mfuasi wa moses aliyeleta tolat. ni sawa ya wapenzi wa yanga hasherehekei Simba day wala wa simba hasherekei mwananchi day. sabau kuu ikiwa itikadi tofauti za upenzi wa soka walizonazo washabiki.
hatutaaacha kuwapenda wayahudi hata msemeje. wewe ngoje mwishoni wa april ndipo uakapoona mapenzi yetu kwa wajukuu wa Rebeca. kuna mtu analizwa hapo masharikin ya kati!
Wewe ongea kishabiki wakati upo buza while wenzako tuko deep hadi tunawala watoto wa kijewish,wewe kaa hapo buza na brainwash yako 😂,nakupa reality nachokiona wewe unaleta hisia 😂