Sheria ya kukifungia CHADEMA iko wapi?

Sheria ya kukifungia CHADEMA iko wapi?

wewe endelea kushabikia tu ila uombe mungu pia usijepatwe na hayo matukio kama kumzika ndugu yako, ama kumwagiwa tindikali, n.k. Yule dereva wa mwigulu alikuwa ana kosa gani? Alichofanyiwa na cdm ni cha kulaani. Kwa kauli yako ni sawa na kuunga mkono na kushangilia uovu ule. Omba Mungu yasikupate! Unaweza ukakaa bar unakunywa kwa starehe zako, ikarushwa chupa ikakujeruhi japo hukulengwa!

hebu acha siasa. ongelaea pande zote ili tujue mbivu na mbichi. Kwani yule Padri wa Ethodox aliwafanyaje vijana wa UVCCM mpaka wakampiga? jaribu kutoa boriti lenu ndipo muone vibanzi vya wenzenu.
 
Wakati fulani NCCR ilikuwa iko juu, ikawa inasemwa sana vibaya, ikadhoofika haikusemwa tena! Ikaja CUF nayo mara majambia mara sijui nini, zama zake zilivyopita haitajwi tena. Sasa ni CHADEMA, kila siku mambo chungu nzima inatajwa kufanya mambo mabaya, sasa swali hapa ni kwa nini kila wakati chama cha upinzani kikianza kuimarika kinasemwa mambo ambayo ni makosaa tuuu, kwa nini? Au ndo DIRTY politics au ni kweli? Hii inatia shaka, hasa kwa mwenye fikra huru, asiyefungamana na upande, inatia shaka tena sana. Siasa za Afrika ni zile RA yule wa Igunga aliziita Maji Taka!

mkuu anzisha cha kwako, kidumu kama chamapinduzi.
 
maovu mengine ya chadema haya hapa
1. kulipuwa mabomu soweto~mbowe & lema
2.kumwagia watu tindikali-henry kilewo
3.kutembea na sumu ya kumlisha zito~ben saanane & slaa
4. kupanga kumteka.msacky~lwakatare
5. chacha wangwe-mbowe & deus mallya

hata kama umejitoa ufahamu kwanini ujaongeza la 6.kuwa Daudi Mwangosi kauwawa na Chadema?.Mtindio wa ubongo ni tatizo kubwa ulilonalo.
 
maovu mengine ya chadema haya hapa
1. kulipuwa mabomu soweto~mbowe & lema
2.kumwagia watu tindikali-henry kilewo
3.kutembea na sumu ya kumlisha zito~ben saanane & slaa
4. kupanga kumteka.msacky~lwakatare
5. chacha wangwe-mbowe & deus mallya

Na kweli kabisa maana hata Mwandishi wa Habaro Marehemu Mwangosi kauawa na Polisi wa CDM.Katika maisha daima tetea haki,Tanzania yetu sote na siyo ya WanaCCM tu.Kumbuka wale wanachama wa CUF walivyopigwa mabomu Magomeni ,hivi wale walikuwa si Watanzania?
 
Kaka yangu Pasco hivi na wewe Mwanasheria na Mwandishi wa Habari mahiri umekea LIKE hoja ya Sirluta,kweli kabisa?Umeweka ukijifahamu au umekuwa shabiki wa maovu?Mbona hauonekani hivyo?
 
Hivi upo serious?
Kama unaongoe ant-clockwisely hongera ila kama unamaanisha basi ujue una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Kwa nn usijiulize kama kweli cdm ni wahusika wa hayo yote,hii serikali yetu inayopenda sifa hivi isichukue hatua?
Hapo huoni ni udhaifu zaidi wa serikali yako mkuu?
Hebu tafakari vizuri,acha utani bwana
 
wewe endelea kushabikia tu ila uombe mungu pia usijepatwe na hayo matukio kama kumzika ndugu yako, ama kumwagiwa tindikali, n.k. Yule dereva wa mwigulu alikuwa ana kosa gani? Alichofanyiwa na cdm ni cha kulaani. Kwa kauli yako ni sawa na kuunga mkono na kushangilia uovu ule. Omba Mungu yasikupate! Unaweza ukakaa bar unakunywa kwa starehe zako, ikarushwa chupa ikakujeruhi japo hukulengwa!

Jaribu kushirikisha akili sio uwe unatumika kama co......m kisha kutupwa kule,cdm ndio walijilipua Soweto,kumchinja kada wao na mashine ya kukata mbao,kumvamia na kumjeruhi mbunge wao Kiwia, na dogo janja Nassari?hao ni kwa uchache tu.Buku saba inakudhalilisha nmna hii kweli njaa mbaya!!!
 
wewe endelea kushabikia tu ila uombe mungu pia usijepatwe na hayo matukio kama kumzika ndugu yako, ama kumwagiwa tindikali, n.k. Yule dereva wa mwigulu alikuwa ana kosa gani? Alichofanyiwa na cdm ni cha kulaani. Kwa kauli yako ni sawa na kuunga mkono na kushangilia uovu ule. Omba Mungu yasikupate! Unaweza ukakaa bar unakunywa kwa starehe zako, ikarushwa chupa ikakujeruhi japo hukulengwa!

Kumbe Chadema wana silaha.Hili jeshi na polisi ni wa Chadema? Kama Chadema wanaua watu,halafu wanampiga na dereva wa mwigulu,kisha polisi wako kimya,hii ni hatari.Kama mtoa mada anasema ukweli,basi wenye akili wote tukubaliane kwamba,Polisi wote wa nchi hii ni wa Chadema halafu Jeshi lote la nchi hii ni la Chadema na kisha Mahakama zote za nchi hii ni za Chadema na ndio maana Chadema wako juu ya sheria.Vinginevyo kama ni kinyume chake basi wauaji ni CCM ambao vyombo vyote hivi viko chini yake na kama CCM iko juu ya sheria,nani atawachukulia hatua wauaji wa CCM?
 
Chadema hawana tofauti na Ibilisi kwa maneno na matendo yao.
Nakichukia chama hiki hakuna cha kulinganishwa.
 
Msimu umefika wa masika kimeshalipika eeh kapige mswaki kinywa kinawakera wanajf
 
Si mlisema kitakufa mwaka uliopita? Sasa mbona mnalia? taratiiibu dawa itaingia tu!
 
nilisha sema mapema huo ulioandika hapo ni uchochezi mkubwa. na wewe na mabwana zako mnastahili kufungwa milele.nyie ndio mnamiliki polisi,magereza, mahakama, uwt, mgambo, jkt na taasisi nyingine nyingi kama hizi.msajili wa vyama tume ya uchaguzi na green guard.sasa ni nini knachowafanya msiwakamate na kuwepeleka jela viongozi wa CDM na CDM KUFUTWA? kwa kushindwa kufanya hivyo ni uoga na uchochzi.mechi inachezwa kwenu,refa wenu,waamuzi wa pembeni wenu ,kamisaa wenu,mashabiki wenu,uwanja wa kwenu,na bado mnalalamika.pole sana mmachezewa nusu uwanja na timu ngeni CDM.
 
Back
Top Bottom