sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Tangu maandamano yaliyopelekea watu wasio na hatia kufa Arusha, CHADEMA kimekuwa chama cha MAOVU tangu siku hiyo hadi leo. Hakuna asiyefahamu uovu huo unaoongozwa na viongozi wao; MAUAJI, KUJERUHI, KUHARIBU MALI, UPORAJI na UKABAJI KWENYE MAANDAMANO, UTEKAJI, KUTISHIA AMANI YA NCHI, KUHAMASISHA UVUNJAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA NCHI, KUTENGENEZA WAVIVU WA KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO, UPINGAJI WA KILA KITU, MACHAFUKO na mengine mengi.
Tumekuwa tukisikia magazeti kufungiwa, vituo vya tv, radio, timu za mipira, n.k kwa kukiuka maadili.
Inakuwaje chama hiki hakijafungiwa ama kufutwa kabisa kwa uovu huu uliokithiri?
Ni dhahiri msajili wa vyama hajapewa meno ya kutosha. Hii taasis ya usajili wa vyama yapaswa kupewa meno makali kwa mustakabadhi wa siasa safi na ya kistaarabu. Matukio yanayofanywa na chama hiki siyo ya kibinadamu bali ni ya kishetani, kihaini, kigaidi, eta kwa sababu tu kina usajili na kipo kihalali na kisheria.
Pamoja na sheria za uchaguzi zinazotungwa, ni vema zikawepo sheria kali za kuthibiti vyama vya siasa.