sheria ya hukumu ya watoto

sulle23

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
230
14
Mtoto wa chini ya miaka 18 ana jela yake maalum,je huyo mtoto akihukumiwa jela labda miaka 10 na kabla hajamaliza kifungo chake akatimiza miaka 18 ya utu uzima,ataendelea na adhabu yake?naomba ufafanuzi wa kisheria tafadhali.
 
Sheria inaangalia wakati huyo mtoto anatenda kosa alikuwa ana umri gani. Tafuta maamuzi ya kesi ndogo ya LULU
 
Back
Top Bottom