Muda wa kawaida wa mchezo umetajwa katika sheria za FIFA kuwa ni dakika 90. Sheria No.7 Kati ya sheria 17 za soka imeelezea vema Muda wa mchezo.
Kanuni zinazotumika kwenye mashindano ya Kombe la Dunia huko Qatar kuhusu Muda wa mchezo zimekuja kuondoa Tabia ya kipindi kimoja.
Hii ndo komesha ya wapoteza Muda Kwa makusudi.