fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 May 23, 2017 #1 Habari zenu wadau wa jukwaa pendwa la Sports, naomba kujuzwa sheria za kubeti, nikimaanisha (namba moja inamaanisha nini, mbili na kuendelea.. na huwa zinatumika kwa aina gan ya Betting.
Habari zenu wadau wa jukwaa pendwa la Sports, naomba kujuzwa sheria za kubeti, nikimaanisha (namba moja inamaanisha nini, mbili na kuendelea.. na huwa zinatumika kwa aina gan ya Betting.
G55-MGODI JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 1,353 Reaction score 1,827 May 23, 2017 #2 Tafuta thread ya wazee wenzagu wa kuweka mzigo utaelewa kila kitu unachokitaka.