Sheria ipi inayoweka kikomo cha muziki na kelele sehemu za starehe zisizo na vibali kuwa mwisho saa 6 usiku?

isupilo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
303
1,000
Naombeni kusaidia kipengele cha sheria kinachoamuru muziki unapogwa bar au sehemu yotote ya starehe kuwa mwisho saa sita usiku.

Kijijini kwetu Mama yangu ni mgonjwa,na jirani kuna Bar/Ukumbi uchwara,sasa jamaa wanapiga muziki mpakaa majogoo,nikawaambia wanasema niwaonyeshe kipengere cha sheria kinachokataza wao kupiga muziki hadi kuchee.

Serikali za mitaa nao wa vijijini hawajui sheria,ukiwaendea wanaogopa kumfuata jamaa sbb ana hela hela pae bush.Sasa nataka nijue sheria ipi inatoa huo ukomo,ili nipate pa kuanzia.

Msaada tafadhalini ndugu wadau
 
isupilo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
303
1,000
Acha roho mbaya watu watafte rizik
Kama kuna utaratibu wa kusema mwisho saa 6 basi ufuatwe ili raia wengine wapate muda wa kupumzika.
Mama mi mgonjwa,kelele nyakati za usiku wa saa saba hadi kunakucha ni kumnyima haki yake ya msingi ya kupumzika!!
 
pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Mar 27, 2015
2,951
2,000
Hizi bar zinazo zunguka makazi ni balaa tupu tunakomeshwa watoto wanashindwa kulala inakera
 
MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
403
1,000
Mkuu,

Hao wazee mtaani kwako ni wajinga. Sheria ipo tena kali kwelikweli inaitwa “Environmental Management (Standards For The Control of Noise And Vibrations Pollution) Regulations, 2015 [GN. No. 32/2015]”

Nenda kaisome yote hasa kwenye Regulations zake 9, 10, 13, 17, 21 26.

Inasema wazi kiwango cha kelele (noise) mtaani mchana kisizidi 50dBa na usiku kisizidi 35dBa na hiki kinapatikana humohumo kwenye First schedule PART 1.

Pia kawaambie hao wazee wabishi kwamba adhabu yake maximum ni kfungwa, nakusomea kama ilivy yaani ,

Regulation 31(c) of the “Environmental Management (Standards For The Control of Noise And Vibrations Pollution) Regulations, 2015 [GN. No. 32/2015]” inasema hivi,

"Any person who contravenes a measure prescribed under these Regulations for which no other penalty is specifically provides, shall be liable on conviction to a fine of not less than two millions shillings but not exceeding ten million shillings or to imprisonment for a term of not less than two years but not exceeding seven years or both".

Hizi bar zinazo zunguka makazi ni balaa tupu tunakomeshwa watoto wanashindwa kulala inakera
Kama kuna utaratibu wa kusema mwisho saa 6 basi ufuatwe ili raia wengine wapate muda wa kupumzika.
Mama mi mgonjwa,kelele nyakati za usiku wa saa saba hadi kunakucha ni kumnyima haki yake ya msingi ya kupumzika!!
Acha roho mbaya watu watafte rizik
Naombeni kusaidia kipengele cha sheria kinachoamuru muziki unapogwa bar au sehemu yotote ya starehe kuwa mwisho saa sita usiku.

Kijijini kwetu Mama yangu ni mgonjwa,na jirani kuna Bar/Ukumbi uchwara,sasa jamaa wanapiga muziki mpakaa majogoo,nikawaambia wanasema niwaonyeshe kipengere cha sheria kinachokataza wao kupiga muziki hadi kuchee.

Serikali za mitaa nao wa vijijini hawajui sheria,ukiwaendea wanaogopa kumfuata jamaa sbb ana hela hela pae bush.Sasa nataka nijue sheria ipi inatoa huo ukomo,ili nipate pa kuanzia.

Msaada tafadhalini ndugu wadau
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom