Naombeni kusaidia kipengele cha sheria kinachoamuru muziki unapogwa bar au sehemu yotote ya starehe kuwa mwisho saa sita usiku.
Kijijini kwetu Mama yangu ni mgonjwa,na jirani kuna Bar/Ukumbi uchwara,sasa jamaa wanapiga muziki mpakaa majogoo,nikawaambia wanasema niwaonyeshe kipengere cha sheria kinachokataza wao kupiga muziki hadi kuchee.
Serikali za mitaa nao wa vijijini hawajui sheria,ukiwaendea wanaogopa kumfuata jamaa sbb ana hela hela pae bush.Sasa nataka nijue sheria ipi inatoa huo ukomo,ili nipate pa kuanzia.
Msaada tafadhalini ndugu wadau