sheria ikoje ukifumaniwa ?

sheria ikoje ukifumaniwa ?

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ?
 
kufumaniwa na mume wa mtu? kwani mahakamani nangojea ya nini ni kubondwa kwa kwenda mbele
 
wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ?

inategemea ni sheria ipi unayoituma. na huyo aliyekufumania yuko kwenye mudi gani mpaka maana by the time unafika mahakamani huko nyumbani wamekaa matanga
 
Nadhani kipigo utakachokipata ni bora hata kupelekwa mahakamani na kujipatia hukumu siku hiyo hiyo
 
Jamani Jane anataka kujua kama ni kosa la kushtakiwa mahakamani?
Wadau wa sheria hii imekaaje?
 
alokufumania lazima ahakikishe anaita shahidi, pia hati ya mashitaka hakikisha haikosewi katika kuandikwa otherwise mshitakiwa atashinda kiurahisiiiiii
 
Leaving certificate>>GOOD<<
Result sleep
Thinking 15%
Utegemezi100%
 
Back
Top Bottom