Sherehe Zikiendelea Kunogea

Wanasiasa wa bongo hili ni funzo kwenu

Hawa watawala wa bongo kila siku wanasema watatayalisha sehemu ya makaburi ya viongozi lakini mpaka leo hii hawajafanya hivyo kwa kuwa wanaogopa vizazi vijavyo vinaweza kuja kuyafukua hayo makaburi na kuadhibu mafuu yao kwa udhalimu wanaofanya kuhujumu maliasili ya nchi bila kujali kuwa kuna vizazi vijavyo!! Kila mmoja wao akifa anataka akazikwe kwao "MSOGA" ambako wanajua ndugu zao watayalinda hayo makaburi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…