Sherehe za wakulima 8/8 ziko ndani ya ALMANAC ya matukio makubwa ya kitaifa na si hukumu ya kesi ya akina MWAMBUKUSI

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
5,510
4,818
Vijana wenzangu wa BAVICHA mnafeli wapi ?!!

Hili nalo ni la kubishania?!!

Mhimili wa mahakama ni miongoni mwa taasisi za DOLA....

Taasisi za DOLA zinashirikiana katika kupashana habari....

Yaani kuahirishwa kutolewa HUKUMU ya kesi iliyofunguliwa na akina ndg.Mwambukusi kuonekane kuwa mhimili wa mahakama UNASIGINWA NA UKO MSAMBWENI ?!!!

Mh.Makamu wa Rais Dr.Philip Mpango ametukumbusha vijana tuwe na utii na TAIFA LETU...hivi upotoshaji mfanyao una faida mtambuka wa uadhimu wa taifa hili bora duniani ?!!

Badilikeni jama

Nisalimieni dada yangu Tusekelege Erythrocyte ambaye amekasirishwa sana na kuahirishwa kwa kesi hiyo

#TaifaKwanza
 
Back
Top Bottom