iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Japo bado ni mbali,lakini ni vyema kuligusia japo kidogo
Kila mwaka February Mhimili wa Mahakama hufungua rasmi shughuli zake,na Siku hiyo huitwa Law Day(Siku ya sheria.
Sherehe hii huhudhuriwa na wadau wa mahakama,wakiwemo Ofisi ya Mwanasheria Mkuu,Chama cha Wanasheria Tanganyika,Mahakama,na mara zote,kimazoea,mahakama humwalika Rais wa Jamhuri kuhutubia
Wanaotoa hotuba za Msingi na za mwelekeo ni Ofisi ya Mwanasheria Mkuu,Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika na Jaji Mkuu
Nadhani kivutio na mpambano mkali kihotuba itakuwa kati ya hotuba ya Lissu na Hotuba ya JPM
Kwa Lissu nadhani itakuwa fursa ya "kupiga misumari ya nchi sita" mbele ya hadhara akielezea hali ya utawala wa sheria,tena mbele ya JPM.
Nini maoni yako?
Kuna mtu atalala mbele na kuacha kuhudhuria?
Hii ndiyo alikuwa hofu ya mwakyembe?
Hakika usiyempenda kaja!!!!