Sherehe za maadhimisho ya muungano

Sherehe za maadhimisho ya muungano

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
Salaam, sherehe za maadhimisho ya muungano zinafanyika wapi? Nataman kuwa mmoja wa wahudhuriaji wa sherehe hizo, mwenye mialiko nikumbuke bac na Mimi, natanguliza shukran, ubarikiwe sana
 
Uwanja wa uhuru kaka, mi huwa napenda lile gwaride la makomando la kunyakua na ule mdundo wao
 
Na mwaka huu naona sherehe zitakuwa kubwa haswa, manake wajeda wanakula zoezi hatari. Wanakaribia kutuua na makelele ya ndege.
 
26.4.2014 home napika bonge pilau kuku kisha natinga uhuru stadium saa tatu asubuhi tu baada ya hapo narudi home nalipiga pilau kisha nakwenda kusherekea cocobeach maana huu muungano ndiyo utanzania wangu na ndiyo sikuku ninayoipenda kuliko zote hapa duniani. Viva tanzaniaaaaaaaa
 
Ukienda saa tatu unaweza usiingie ndani, sherehe za mwaka huu zitakuwa kubwa, watu wengi, halafu kauwanja kadogo.
Kama una nia ya kwenda nenda saa kumi na mbili asubuhi, ukichelewa sana nenda saa moja....baada ya hapo we pumzika tu home.
 
Na mwaka huu naona sherehe zitakuwa kubwa haswa, manake wajeda wanakula zoezi hatari. Wanakaribia kutuua na makelele ya ndege.

Nilifikiri haya madege yao yananisumbua peke yangu tu.

Ngoja tuone Tanzania at 50
 
Back
Top Bottom