Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,936
- 244,521
Kwa siku kama ya leo miaka iliyopita ilikuwa ni pilikapilika kwa wananchi na wanaccm katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa chama hicho kikongwe kinachosemekana kuzaliwa 5 february 1977.
uchunguzi wangu umebaini kwamba wananchi wengi wamepuuza sherehe hizo , huku wengi wa vijana wakiwa hawajui hata tarehe ya kuzaliwa kwa chama hicho iliyokuwa siku ya kitaifa miaka kadhaa iliyopita .
My Take - Umaarufu wa ccm umepotea kabisa miongoni mwa wananchi , hii ni dalili ya chama kufa kifo kibaya sana , Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kujibu maombi ya wengi .