Sherehe ya zito kabwe

ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Mizigo mingine kama hii humu tunawatambua kwa post zao kama hii ya huyu

kilaza!

Ila nina hofu na umri wako!
 
HIVI M2 AKETEKELEZA MAJUKUMU YAKE AFANYIWE SHEREHE,NA WASALITI KM MAKAMBA TUWANYONGE?tufahamishe mkuu.
 
Wots wrong with you guys?,si msubiri muone kitakachojiri baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa,je watachukuliwa hatua?
 
Akivunja tu baraza na kuwatupa nje itakuwa ndo fashion,,nao watafisadi kwa mwendo ule ule,, dawa ni kuwafilisi mali zao na kuwapeleka mahakamani,italeta woga kwa wengine
 
Mizigo mingine kama hii humu tunawatambua kwa post zao kama hii ya huyu

kilaza!

Ila nina hofu na umri wako!

Mshukuru sana Mungu kwa kukujalia akili nzuri ya utambuzi.
Angalizo, kama mimi ni kulaza, basi wewe ni kenge kasoro mkia.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

hebu tupe walau mchango wa mambo uliyoyafanya katika ujenzi wa taifa hili tuone kama unastahili kukosoa wengine au ww ni debe tupu!
 
Ndugu, wazo lako ni zuri sana, ila hawezi kufanyiwa sherehe kwani alitumwa na wananchi kufanya kazi hiyo. Ni sawa na kufanyia mwalimu sherehe kwa kufaulisha watoto wengi wakati hilo ni jukumu lake.
 
Hoja ya Zito iliibuliwa na Mh Tundu Lissu........nimesikiliza kwa makini lakini sijasikia bado mbunge aliyetoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu

Mkuu Ndachuwa ni kweli hakuna hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu iliyowasilishwa bungeni. Ili hoja iwasilishwe lazima taarifa ya kutaka kuwasilisha hoja hiyo ipelekwe kwa Spika wa Bunge siku 14 kabla ya kuwasilisha hoja. Ili taarifa ipelekwe lazima iwe imeungwa mkono na wabunge wapatao 20% ya wabunge wote. Na ili hoja iwasilishwe lazima ikubaliwe na Spika. Kilichofanyika hadi sasa ni kupata uungwaji mkono wa 20% ya wabunge na kupeleka taarifa ya kusudio la kupeleka hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu. Taarifa hiyo ilipelekwa kwa spika ambaye nadhani bado hajatoa jibu la ama kukubali kuwa hoja ipelekwe ama la.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu, wazo lako ni zuri sana, ila hawezi kufanyiwa sherehe kwani alitumwa na wananchi kufanya kazi hiyo. Ni sawa na kufanyia mwalimu sherehe kwa kufaulisha watoto wengi wakati hilo ni jukumu lake.

Mkuu MAKOLE hujasikia waalimu wa Mwanga wamepelekwa Tarangire kuangalia simba na fisi baada ya kufaulisha watoto wengi?
 
Last edited by a moderator:
chadema inafanya kazi kama team......not a single person. I congratulate chadema.....
 
CELEMONI NDIO NINI??UKO PEMbA NINI???
 
Mkuu MAKOLE hujasikia waalimu wa Mwanga wamepelekwa Tarangire kuangalia simba na fisi baada ya kufaulisha watoto wengi?

Ni sawa kuwapa hawa watu motisha, hiyo sio sherehe. nadhani unapaswa kuangalia mambo haya mawili. unaweza kumpa zitto zawadi kama motisha, lakini sherehe............sidhani kama ni sahihi sana mr. Kimunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…