Sherehe ya kumpongeza Meya jijini Mwanza

naona mmedai sana picha mimi nimehudhuria malaika ila sijajua ndoa imefungwa kwa dini gani maana nasikai msichana ni mwislam
 
Meya wa KICHINA,baada ya kupiga bilioni 40 anajipongeza.Hukumu yake 2015.Nasikia amenogewa anataka amtoe mtoto wa Mama Nitillie wetu WENJE.Labda aje na gari za kuwasha kama 20
 
Hongera zao buana ...! Sherehe ilinoga knomanoma. Lulu Wa kanumba nae hakupitwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…